Je, Aisha alikuwa mgonjwa wa kufa?

Obsah

Je, Aisha alikuwa mgonjwa wa kufa?

Je, Aisha alikuwa mgonjwa wa kufa?

Alikuwa anaonekana kama mgonjwa wa kufa, lakini Aisha, ambaye aliamini kwam- ba alikuwa kwa hali yoyote ile amefika mwisho wa njia yake ya ndoa za kidiplomasia, alimpa jibu la kisirani: “Hapana. Kwa sababu naweza pia kufikiria kuja kwako wewe moja kwa moja kutoka makaburini kusherehekea usiku wa harusi.” (Muhammad, The Messenger of God)

MALENGO YA MAISHA YA MUHAMMAD MUSTAFA?

MALENGO YA MAISHA YA MUHAMMAD MUSTAFA (s.a.w.), kama Mtume wa Mwisho wa Allah (s.w.t.) katika dunia hii yalikuwa: yaliyopita, na chombo ambacho kitadumisha mwendo wa kazi yake.

Nilikuwa na haja ya kulia kichwa changu?

Wakati wa asubuhi, akipita kwenye mlango wa Aisha, ambaye alikuwa anaugua kutokana na maumivu makali ya kichwa, alimsikia akilalamika (kupiga kite): kichwa changu! oh, kichwa changu! Akaingi ndani na akasema: “Hapana, Aisha, kwa hakika mimi ndio ningekuwa na haja ya kulia - kichwa changu kichwa changu!”

Související příspěvky: